Kuna mzee mmoja ameniuliza swali hili lkn nikamwambia sijui,ila nitakujibu nikashajifunza kwa wataalamu,ndo nikaja humu jf,ishu ni kwamba ana muda wa siku 4 sasa kila akijisaidia haja kubwa anamalizia na kutoka damu wakati hata tumbu haliumi.
NAWASILISHA