Ugonjwa gani umeikumba michungwa yangu

Ugonjwa gani umeikumba michungwa yangu

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habari wakuu

Naomba kujuzwa mm nimkulima wazao la michungwa msimu huu machungwa yamekua na ukungu mweusi na majani yake ya michungwa yamekua meusii kama kwenye picha.

Msada wakuu
IMG_20230713_155443_029.jpg
 
Nenda kwenye duka la dawa ya mimea na mifugo, watakupa dawa ya kuchanganya na maji unapulizia
 
Hiyo ni sooty mold fungus inasababishwa na mmea kushambuliwa na wadudu ambao hueneza fangasi iyo

Dawa zipo za aina 2 ya wadudu na fangasi tumia dawa yenye Kiambata cha Ethion ili kuua hao wadudu na yenye Kiambata cha Ziram kuua hao fangasi
 
Habari wakuu

Naomba kujuzwa mm nimkulima wazao la michungwa msimu huu machungwa yamekua na ukungu mweusi na majani yake ya michungwa yamekua meusii kama kwenye picha.

Msada wakuuView attachment 2689169
Chanzo ni white flies. Unatibika huo ugonjwa fasta tu. Hakikisha dawa unapiga mbele na nyuma ya jani. Nenda duka la pembejeo waoneshe hiyo picha utapewa dawa ya kupuliza
 
Back
Top Bottom