Umelimia wapi michungwa hii??Habari wakuu
Naomba kujuzwa mm nimkulima wazao la michungwa msimu huu machungwa yamekua na ukungu mweusi na majani yake ya michungwa yamekua meusii kama kwenye picha.
Msada wakuuView attachment 2689169
Chanzo ni white flies. Unatibika huo ugonjwa fasta tu. Hakikisha dawa unapiga mbele na nyuma ya jani. Nenda duka la pembejeo waoneshe hiyo picha utapewa dawa ya kupulizaHabari wakuu
Naomba kujuzwa mm nimkulima wazao la michungwa msimu huu machungwa yamekua na ukungu mweusi na majani yake ya michungwa yamekua meusii kama kwenye picha.
Msada wakuuView attachment 2689169