Ugonjwa huu umeisha au umejificha?

Joined
Mar 12, 2015
Posts
25
Reaction score
2
Mambo vipi ndugu zangu wapendwa, nahitaji kujuzwa juu ya suala hili : Kuna mtoto wa mjomba yangu alikuwa na mpenzi wake lakini katika mazingira ya kutatanisha alipatwa na ugonjwa wa zinaa (STDS) baada ya kwenda kupima hospitali.

Lakini cha ajabu hakutumia dawa na mpaka leo anasema anadunda na yuko poa kama kawaida. Sasa naomba mnijuze hapo wataalam..

Je, huo ugonjwa umetokaje au ndio unamla taratibu pasipo yeye kujijua??? Wote mnakaribishwa kuchangia
 
Magonjwa ya zinaa yako mengi, yeye alionekana kuwa na ugonjwa gani?
 
ugonjwa huo unamla taratibu na mwisho wake ni ugumba au utasa,kisha anaanza kutoa lawama kwa mwenza wake
 
Tusizungumze kama tuko kwenye vijiwe vya kahawa.Magonjwa ya STDS yako mengi,yeye ameshakwenda hospitali kupima,sasa nauliza,amegundulika kuwa na ugonjwa gani wa zinaa?Ukosefu wa uelewa wa sayansi ni kitu kibaya sana.
 
ugonjwa upi wa zinaa ambao alikutwa nao?
 
watu mnacheza na uhai wenu... unakutwa na gonjwa la zinaa unajidai kudunda ha ha ha ndo kujipa moyo uko mwambie akazane kudunda ugonjwa unamla slow slow akijatahamaki umekua chronic hausikii la mnadi swala wala sauti za kanisa
 
inawezekana usimletee tatizo lolote sio kila mtu anaumwa ugonjwa unaoumwa ww pia kwenye science tunahesabu ugonjwa mpaka tuone dalili ndo tunasema unaumwa sasa kama dalili hana tuna muita carrier mfano binadamu wanavijitudu either bacteria au fungus hao ni vijidudu vipo tumboni, mdomo, kwenye uke wakianza kuleta dalili ndio tunasema unaumwa hizo dalili hutokana either na matumizi ya dawa ambayo inasababishwa na abnormal imbalance of vagina flora na sababu nyingine nyingi
 
Asante sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…