JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Habari wakuu, mada hapo juu inahusika.
Nina mdogo wangu ana Miaka 23 wa Kiume amekutwa na Ugonjwa wa Ajabu wa kuwashwa mwili mzima. alienda Hopsitali wakamwambia ni Mzio yaan aleji ambayo ilisababishwa na Ile dawa ya Mbu ya Kupaka.
Walimpa dawa za aleji akatumia amepona japo kwa sasa amekuwa akiwashwa sana katikati ya Vidole vya Mikono, kuna Vipele vinajitokeza ukivipasua vinatoa Usaha.
Shida Hii inaweza kuwa ni nini wazee? dawa gani nzuri ya kutumia Vidonge au Cream?