JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
alikuwa anawashwa mwili mzima. sasa baada ya Kupona ndio hiyo hali ya kuwashwa katikati ya Vidole ikaanza🤔"Walimpa dawa ya aleji akatumia amepona, japo kwa sasa amekuwa akiwashwa......"
Sasa alikuwa anaumwa nini na sasa amepona nini?
Nashauri arudi hospital, kama dawa ya mwanzo ili msaidia kupona the rest of the body kasoro sehemu za vidole its a good sign aidha abadilishiwe dawa au aongezewe, kuna posibility kubwa kucure.alikuwa anawashwa mwili mzima. sasa baada ya Kupona ndio hiyo hali ya kuwashwa katikati ya Vidole ikaanza
ok sawaNashauri arudi hospital, kama dawa ya mwanzo ili msaidia kupona the rest of the body kasoro sehemu za vidole its a good sign aidha abadilishiwe dawa au aongezewe, kuna posibility kubwa kucure.
kunakuwa na vipele akivipasua vinatoa maji maji vingine usaha.Maelezo hayajitoshelezi Boss wangu, kwenye vidole kuna nini kinaonekana mbali na muwasho uliopo
Habari, licha ya hayo Kuna shida Sasa inayotokana na utumiaji wa mafuta ya kula kuwa na kemikali nyingi hivyo fanyeni utafiti juu ya hili napia anaweza kufunga angalau mara 2 kwa wiki ingawa akiwa kwenye funga anaweza kunya maji ilikutoa sumu mwiliniHabari wakuu, mada hapo juu inahusika.
Nina mdogo wangu ana Miaka 23 wa Kiume amekutwa na Ugonjwa wa Ajabu wa kuwashwa mwili mzima. alienda Hopsitali wakamwambia ni Mzio yaan aleji ambayo ilisababishwa na Ile dawa ya Mbu ya Kupaka.
Walimpa dawa za aleji akatumia amepona japo kwa sasa amekuwa akiwashwa sana katikati ya Vidole vya Mikono, kuna Vipele vinajitokeza ukivipasua vinatoa Usaha.
Shida Hii inaweza kuwa ni nini wazee? dawa gani nzuri ya kutumia Vidonge au Cream?
okHabari, licha ya hayo Kuna shida Sasa inayotokana na utumiaji wa mafuta ya kula kuwa na kemikali nyingi hivyo fanyeni utafiti juu ya hili napia anaweza kufunga angalau mara 2 kwa wiki ingawa akiwa kwenye funga anaweza kunya maji ilikutoa sumu mwilini