Huo sio ugonjwa hao ni wadudu wanaitwa mealy bugs ,kwa kuwapunguza hakikisha kwanza unazuia sisimizi shamban kwako maana sisimizi wa kwenye miti ndio wanawasambaza na kuwalinda hao wadudu ,dawa piga dawa itakayoingia ndani ya mti na kuwaua wakiufyonza (systemic) kama vile actara 25wg,selecron 720ec,folimat,riyazinon 60 ec
Kuna dawa niliuziwa kwa tatizo kama alilolisema mdau...inaitwa ivory...lkn bado naona hao wadudu wapo kwenye mstafeli wanguHuo sio ugonjwa hao ni wadudu wanaitwa mealy bugs ,kwa kuwapunguza hakikisha kwanza unazuia sisimizi shamban kwako maana sisimizi wa kwenye miti ndio wanawasambaza na kuwalinda hao wadudu ,dawa piga dawa itakayoingia ndani ya mti na kuwaua wakiufyonza (systemic) kama vile actara 25wg,selecron 720ec,folimat,riyazinon 60 ec
Mkuu hivi hii ni kweli eeh? Naona wengi wanarecomend hii.... Pilipili inaua wadudu wa aina gani?Ikiwa mlolongo wako ni wa organic basi dawa nzuri ni pili pili ikiwa tatizo ni hilo alilolisema ndugu the horticulturist....
ndio inaua wadudu, inatumika sana kwenye kilimo hai (organic) sio pilipili tu, kuna kitunguu swaumu na nyanya pia...Mkuu hivi hii ni kweli eeh? Naona wengi wanarecomend hii.... Pilipili inaua wadudu wa aina gani?
mkuu unaweza kutupa msaada jinsi ya kutengeneza hizo dawa yani pilipili,kitunguu swaumu na nyanya asante.ndio inaua wadudu, inatumika sana kwenye kilimo hai (organic) sio pilipili tu, kuna kitunguu swaumu na nyanya pia...
More info plsndio inaua wadudu, inatumika sana kwenye kilimo hai (organic) sio pilipili tu, kuna kitunguu swaumu na nyanya pia...
naomba nitumie somo Zima la kiilimo cha nyanya , kitunguu swaumundio inaua wadudu, inatumika sana kwenye kilimo hai (organic) sio pilipili tu, kuna kitunguu swaumu na nyanya pia...
binamu, mimi sijasomea kilimo zaidi ya kushiriki katika mafunzo ya kilimo hai kama transalator na kama mtumishi katika shirika linalofanya mambo ya ushirika na kilimo, naamini watu watakupatia,naomba nitumie somo Zima la kiilimo cha nyanya , kitunguu swaumu
I will let you know....More info pls
asante binamu ila hata kidogo ukinipatia kinanitosha hasa mwanzo wa kujua mambo ya kilimo binamubinamu, mimi sijasomea kilimo zaidi ya kushiriki katika mafunzo ya kilimo hai kama transalator na kama mtumishi katika shirika linalofanya mambo ya ushirika na kilimo, naamini watu watakupatia,
binamu nitakuongopea, zaidi ya kujua kidogo kwenye kutengeneza mbolea za organic na dawa zake vingine sijui....!asante binamu ila hata kidogo ukinipatia kinanitosha hasa mwanzo wa kujua mambo ya kilimo binamu