Ugonjwa mpya wa kuvimba sehemu za siri

Ugonjwa mpya wa kuvimba sehemu za siri

suzy daniel

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
57
Reaction score
10
Ndugu zangu wataalam wa sience kuhusu magonjwa,

Kuna masage nimetumiwa inasema hivi, kuna ugonjwa ambao umeingia kwa wanawake ugonjwa huo ni wakuvimba sehemu za mwanamke(mashavu ya uke) baada tu ya tendo la ndoa na uvimbe huo husababshwa na fangasi.

Swali langu: Je, nikweli kuvimba kwa sehemu hiyo baada ya tendo la ndoa husababshwa na fangas? Au ni dalili ya ugonjwa gani? Na unasababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom