sifi leo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,182 Reaction score 8,948 Feb 1, 2024 #1 Ugonjwa redeyes ni ugonjwa hatari hatari hatari sana Yaani umenishika ndani ya wiki moja hakuna rangi nimeacha kuona. Nimenawa mikono mpaka nikawa mzungu ghafla Nauliza swali moja tu Serikali ilitangaza ugongwa hauna dawa sawa tumevumilia umetupiga sasa nauliza je Sideeffect za huu ugonjwa ni zipi? Mimi nimepona leo lakini aise nimepatwa na UONI HAFIFU JE ili nalo halitibiki? Kama ni kweli tujiandae kwa janga kubwa laja.
Ugonjwa redeyes ni ugonjwa hatari hatari hatari sana Yaani umenishika ndani ya wiki moja hakuna rangi nimeacha kuona. Nimenawa mikono mpaka nikawa mzungu ghafla Nauliza swali moja tu Serikali ilitangaza ugongwa hauna dawa sawa tumevumilia umetupiga sasa nauliza je Sideeffect za huu ugonjwa ni zipi? Mimi nimepona leo lakini aise nimepatwa na UONI HAFIFU JE ili nalo halitibiki? Kama ni kweli tujiandae kwa janga kubwa laja.
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,454 Reaction score 11,029 Feb 1, 2024 #2 Hufi leo
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 13,332 Reaction score 7,351 Feb 2, 2024 #3 Sasa waliyonawa kwa majani ya chai na chumvi hali ikoje?
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 Feb 4, 2024 #4 Huu ungonjwa sio mgeni, mi ulinipata 2014, from there huwa naona blur vitu vikiwa mbali, sijui ndo chanzo au vipi
Huu ungonjwa sio mgeni, mi ulinipata 2014, from there huwa naona blur vitu vikiwa mbali, sijui ndo chanzo au vipi