Mr General
Member
- Mar 26, 2014
- 22
- 1
Nahitaji tiba na ushauri kuhusu hili.Kuna vipele(sundosundo) vimetokea sehem za siri kwenye ringi ya ume wala haviwashi ni miaka 5 sasa.
Nimetumia baadhi ya dawa sioni mafanikio yoyote zikiwemo za magonjwa ya zinaa.
Nimetumia baadhi ya dawa sioni mafanikio yoyote zikiwemo za magonjwa ya zinaa.