Ugonjwa sugu Tanzania

Ugonjwa sugu Tanzania

SEHENM“Habari za wakati huu!!
Miaka ya nyuma nilivokua nasikia magonjwa sugu nidhani ni magonjwa ya kisukari,Pressure ,UKIMWI ,cancer na mengine ya aina hiyo ambayo hayana tiba!Kumbe hata malaria tu inaweza kua sugu!”

Kwa majina Rajabu Denis Mtangi (code)Nimekulia mikoa tofauti tofauti! Nilipoanza kujitegemea nilienda dodoma ambapo ndio nilipata kazi katika shirika moja binafsi!!..
Nilifanya miaka mitatu kisha nikahamishiwa dar.Sikufurahia uhamisho kwasababu nilikua nishakaa muda dodona na kuna malengo nilitaka kuyatimiza.Hivo sikufurahia kabisa.Lakini kwa kua ilikua n lazma siyo ombi basi nilienda mkoa mpya kuanza kazi.

Niliwasili Dar na kuelekezwa ofici bamoja na sehemu ya kazi.Kazi mara nyingi ni za field hivo nikawa naandika Permission ya safari.

KUKUTANA NA MWANAMKE
Binafsi sijaoa ila nilikua nimemuacha mpenzi wangu dodoma ambae alikua akinihudumia huduma za kimwili kama mwanaume. Siku za mwanzo nilikua nikirudi dodoma kwa ajili ya hilo lakini baada ya muda nikajikuta siendei tena kutokana na umbali….

…….itaendelea
Haya ukija Dodoma karibu kisasa tufahamiane!
 
Mkuu it's too much pain and it's hurts
Ask your self what you have done or gained, since you came to earth
Are you making it better or worse

mkuu nashare stori yangu tu siitaji kugain kitu, possibly kuna mtu ashapata hii, na kuna wataalam wengi pia wanasoma , so huwezi jua what next
 
mkuu nashare stori yangu tu siitaji kugain kitu, possibly kuna mtu ashapata hii, na kuna wataalam wengi pia wanasoma , so huwezi jua what next
Nenda kapime tena sehemu nyingine kwani vipimo vyaweza kutofautiana au kukosewa pia vimelea vya magonjwa havijafikia hatua ya kuonekana. Nenda tena hospital. Kama Kuna hali nyingine zisizoelezeka unazopitia basi yaweza kuwa mambo ya kiroho kwani kujamiiana ndio njia kubwa ya kuingiliwa kiroho.
 
Back
Top Bottom