Wadau wenzangu labda nyie mnaweza kua Na majibu ambayo nimeyatafuta kwa muda mrefu sasa maana yapata muda wa miaka miwil
Nimekua nikisumbuliwa Na kitu kinacho itwa jipu ( naamini nimeeleweka ninacho maanisha)
Haka kadude bhana kamenisumbua kwa muda wa miaka miwil nimetumia dawa niliyopewa Na dactari lakini baada ya wiki mbili kameludi tena wadau wangu
Sasa kama unajua tiba au njia ya kufanya ili nipone wadau wangu nisaidieni wapendwa ( kameota kwenye paja)
Sasa mbaya zaidi kakiiva kanatoa usaha unaonuka sana
Msaada kwenu wadau
[/QUOT