Ugonjwa uliomfanya Garry Turner kuvunja rekodi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Garry Turner ni muingereza anayeshikilia rekodi ya dunia ya Guinness ya kuivuta ngozi ya mwili wake. Oktoba 29, 1999 alivunja rekodi kwa kuvuta ngozi yake kwa urefu wa inchi 6.25.

Tangu avunje rekodi hiyo Garry Turner amekuwa akifanya maonyesho kwa kutumia ngozi yake na kujiingizia kipato.

Uwezo wa kuivuta ngozi umetokana na ugonjwa unaotambulika kama Ehlers-Danlos Syndromes (EDS) ambao kwake umejidhihirisha kwa kiasi kikubwa.

EDS ni ugonjwa unaoleta madhara kwenye viungo ambao katika namna nyingine unaweza kumfanya mtu aweze kuzungushwa sehemu za mwili isivyo kawaida kama wanavyofanya baadhi ya wanasarakasi

Mambo zaidi wanayoweza kufanya watu wenye ugonjwa huu
1604473882518.png

1604473911525.png

1604473962200.png
 
View attachment 1619237

Mambo zaidi wanayoweza kufanya watu wenye ugonjwa huu
View attachment 1619240
View attachment 1619242
View attachment 1619246
Sasa Huyu anavuta ngozi au anakunja viungo vya mwili?.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Garry Turner ni muingereza anayeshikilia rekodi ya dunia ya Guinness ya kuivuta ngozi ya mwili wake. Oktoba 29, 1999 alivunja rekodi kwa kuvuta ngozi yake kwa urefu wa inchi 6.25.

Tangu avunje rekodi hiyo Garry Turner amekuwa akifanya maonyesho kwa kutumia ngozi yake na kujiingizia kipato.

Uwezo wa kuivuta ngozi umetokana na ugonjwa unaotambulika kama Ehlers-Danlos Syndromes (EDS) ambao kwake umejidhihirisha kwa kiasi kikubwa.

EDS ni ugonjwa unaoleta madhara kwenye viungo ambao katika namna nyingine unaweza kumfanya mtu aweze kuzungushwa sehemu za mwili isivyo kawaida kama wanavyofanya baadhi ya wanasarakasi
View attachment 1619237

Mambo zaidi wanayoweza kufanya watu wenye ugonjwa huu
View attachment 1619240
View attachment 1619242
View attachment 1619246
Kujipinda kiasi hiki kunategemea ngozi au mifupa?
 
Back
Top Bottom