Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hakuna kaUgonjwa hako kanakokata Dhakari wewe tibwilika tu na hako kaMilioni kamoja ka kizibo au ni $1,000,000.00Nasikia kuna ugonjwa wa zinaa unaokata uume.
Je ugonjwa huo ni ugonjwa gani?
Dalili zake zikoje?
Uume hukatika baada ya muda gani?
Tiba yake ni nini?
Je wanawake wanaathirika vipi na ugonjwa huu?
Wana JF wenzangu napenda nishiriki nanyi furaha niliyonayo.
Kuanzia leo nimeingia kwenye ulimwengu wa watu wenye pesa nyingi, mamilionea.
Nimeshinda shilingi milioni moja kwenye shindano la fungua kizibo na ushinde.
karibuni sana
Nasikia kuna ugonjwa wa zinaa unaokata uume.
Je ugonjwa huo ni ugonjwa gani?
Dalili zake zikoje?
Uume hukatika baada ya muda gani?
Tiba yake ni nini?
Je wanawake wanaathirika vipi na ugonjwa huu?
Halafu nilikuwa silifahamu jina lako la ukoo, kumbe unaitwa Ukwaju bin Asali??Hakuna kaUgonjwa hako kanakokata Dhakari wewe tibwilika tu na hako kaMilioni kamoja ka kizibo au ni $1,000,000.00
au umeingilia makoloni ya watu nini Bujibuji?
Kazi ipo:busuEeeeeheeeee kama unasababishwa na ngono mmekwisha wanaume
Dalili zake ni zipi, unatibiwaje?Pangusa
malengelenge