Si ugonjwa wa ajabu. Inawezekana ni Haemorrhoid au piles (kwa kiswahili inaitwa bawasiri). Inatokana na kutuna kwa mishipa inayorudisha damu kwenye moyo inayoitwa vein. Kamwe haina usiano wowote na kutopata mimba. Ila mwanamke akipata mimba akiwa na shida hiyo basi tatizo hilo laweza kuzidi, na huenda likapata nafuu baada ya kujifungua. Waone madaktari.