Habari wana JF,
Nimekutana na hiki kisa kwa mtu anayelalamika ana tatizo la akili. Yeye anasema kuna kipindi anaona mapichapicha ambayo hayaelewielewi. Yanatokea kwa kipindi kifupi tu cha sekunde chache haafu yanapotea na anakuwa kawaida. yuko vizuri tu na huwezi kuzania ana hilo tatizo.
Hebu mwenye chochote katika hili naomba atiririke kwa msaada zaidi.
Asanteni,
Njama
Hiyo hali inatokea hasa wakati gani?
Hebu muulize akiona nn ndipo anapatwa na hiyo hali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wakasemaje?eeh.. tumeshampeleka MNH
eeh.. tumeshampeleka MNH
Probable cause
Depression or anxiety
Drug abuse (Bangi or any other drugs)
Njaa kali
Kama yote hayo hana basi anaweza kuwa na some access to higher vibrations of his or her body
Usiombe ikukute unaweza ukadhani kuna mkutano unafanyika kichwani ilishawahi kunitokea nikapata dozi ya kisaikolojiayaah ni depression kabisa hata yeye anakili hilo
Sasa hii kweli inatibika maana huwa naona mastaa wote wa hollywood tena kwa majina