Moto utawala hapaUmezungumza Point jinsi anavyo jiweka na vyeo alivyojipachika havilingani kabisa. Kwa sababu majibu yake ni ya kihunihuni labda Tumuite Doctor wa falsafa za kihunihuni ndio cheo kinacho mfaa angelikuwa ni mtu mstaarabu angenijibu kwa ustaarabu. Kama nilivyomueleza mimi hata mimi nimemujibu kwa ustaarabu lakini yeye amenijibu kihunihuni. Hafai kuwa Daktari wa Falsafa.Huyu ni daktari wa kihunihuni ndio cheo chake.
Wewe ni sikio la kufa, ni PhD na siyo PHD.Wewe PHD yako ni ya matusi mdogo wangu.
kwani Doctor ni kiingereza kiswahili ni Tabibu au Mganga Mimi nimetumia jina la kiingereza ili hata watu wasiojuw akiswahili wanielewe mimi ni nani kwanza nimeweka Herbalist kisha ndio nikamalizia Dr. Unajuwa maana ya neno la Herbalist ?Wewe ni sikio la kufa, ni PhD na siyo PHD.
Halafu wewe jiite tabibu tu siyo Dr.
Moto utawala hapa oohokwani Doctor ni kiingereza kiswahili ni Tabibu au Mganga Mimi nimetumia jina la kiingereza ili hata watu wasiojuw akiswahili wanielewe mimi ni nani kwanza nimeweka Herbalist kisha ndio nikamalizia Dr. Unajuwa maana ya neno la Herbalist ?
Na wewe utakuwa unaumwa huo ugonjwa mkuu.Niombe radhi kwa tatizo lolote na kiuandishi na pia kutokana na misamiati mingine ya kitaaluma ambayo haijaweza kupata tafsiri nzuri inapotafsiriwa katika lugha ya Kiswahili
Harbalist ni mganga wa miti shamba, wewe siyo Dr.kwani Doctor ni kiingereza kiswahili ni Tabibu au Mganga Mimi nimetumia jina la kiingereza ili hata watu wasiojuw akiswahili wanielewe mimi ni nani kwanza nimeweka Herbalist kisha ndio nikamalizia Dr. Unajuwa maana ya neno la Herbalist ?
Nifuate DMJamani m nmekua na ugonjwa Wa bipolar nimekua nikteseka nao naombeni ushauri kwa ambae amekuwa nao au mwenye kujua kuhusu uo ugonjwa
Mbona unaniandama hivi π€£
Hahaha ntakuzingua.. mleta mada ndiye aliyeomba ushauri
Herbalist Dr MziziMkavu, una ufahamu wowote juu ya ugonjwa unaoitwa "Minieres disease"? Kwa utaalamu wako ,ugonjwa huu unatibika?Sasa kwanini unajipachika vyeo ambavyo hata huna kabisa Vyeo navyo ( Dr Matola PhD) una cheo cha Dr una cheo cha PHD vyote hivyo ni vyeo feki badilisha hivyo vyeo ujiite jina lako tu Matola kuliko kujipachika vyeo feki Samahani kama nimekukwaza.
Muelekeze kwenye uzi huuhuu.PM/DM ya nini wakati kaweka changamoto yake hadharani?π€Nifuate DM
Ugonjwa wa Meniere ni nini?Herbalist Dr MziziMkavu, una ufahamu wowote juu ya ugonjwa unaoitwa "Minieres disease"? Kwa utaalamu wako ,ugonjwa huu unatibika?
Nimepatwa na tatizo la sikio moja kutosikia, napatwa na kizunguzungu cha hatari sana, nahisi mgandamizo mkubwa mno kwenye sikio kwa ndani, mwili unaelemewa upande mmoja
Nimepima vipimo vyote hospital (hadi ubongo kwa maana ya CT scan) madaktari walipendekeza hivyo ili kujiridhisha kama kuna uvimbe kwenye ubongo.
Baada ya kufanyiwa vipimo vya sikio na daktari bingwa mtaalamu wa ENT surgeon akagundua Kuna tatizo kwenye sikio la ndani (nerves) zinazopeleka taarifa kwenye ubongo zimeathiriwa na huo ugonjwa (minieres disease).
Kitaalamu haijajulikana chanzo wala tiba ya ugonjwa huu. Kwenye mitishamba Kuna uwezekano wa kutibu maradhi haya?
Psychiatrist alikwambiaje kwa kuanzia hapoJamani m nmekua na ugonjwa Wa bipolar nimekua nikteseka nao naombeni ushauri kwa ambae amekuwa nao au mwenye kujua kuhusu uo ugonjwa
ππUgonjwa wa Meniere ni nini?
Ugonjwa wa Meniere ni sugu, na - angalau kwa sasa - ugonjwa wa sikio la ndani usiotibika ambao husababisha kizunguzungu, tinnitus, vertigo na dalili zingine zinazohusiana na mkusanyiko usio wa kawaida wa maji katika sikio la ndani. Hali hii inaweza kutokea ghafla na kubaki kwa miaka. Au shambulio moja linaweza kutenganishwa kwa majuma, miezi, au hata miaka.
Kupoteza kusikia kwa kudumu kunawezekana. Ni mojawapo ya matatizo ya kutisha zaidi ambayo ugonjwa wa Meniere unaweza kutoa. Hali hii ya sikio la ndani inayoweza kuzima inaweza pia kutatiza shughuli za kila siku na taaluma yako kama dalili za kawaida, kizunguzungu na kizunguzungu haswa, inaweza kufanya isiwezekane kuendesha, kuendesha mitambo au vifaa. Na, inaweza kusababisha kujikwaa na kuanguka kwa kiwewe.
Pole sana mkuu kwa hayo maradhi yako ya Meniere nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.