DENGERUA,DENGUE FEVER au DENGE LIPI?
DENGUE FEVER.... Huambukizwa na mbu waumao mchana. Jikingeni na mbu, paka mosquito repellant kama uko nje maeneo yenye mbu, spray your home and compounds , lala kwenye chandarua... in short.
Dalili - homa ya ghafla, maumivu ya misuli na viungo kama malaria ila hii ni kali hadi kuitwa homa ya kuvunja mifupa! , vipele kama vya surua, maumivu ya tumbo, kichefuchefu, kutapika na kuharisha...inatisha wandugu!
Chi nini?.......huelewekini DENGE FIVA AU CHIKUNGUNYA FIVA?
Chi nini?.......hueleweki
bongo mali yetu ni chikungunya fever,..na sio dengue fever na dalili zake ni sawa./..sasa tafiti hatuna matokeo yake tuna copy magonjwa ya wenzetu na tuna paste,.ingawa dalili zake ni sawa lakini virusi ni tofauti,.sasa ni ipi denge au chikungunya fever?chi nini?.......hueleweki
bongo mali yetu ni chikungunya fever,..na sio dengue fever na dalili zake ni sawa./..sasa tafiti hatuna matokeo yake tuna copy magonjwa ya wenzetu na tuna paste,.ingawa dalili zake ni sawa lakini virusi ni tofauti,.sasa ni ipi denge au chikungunya fever?
Kama ndio hivi mbona utakuwa ugonjwa mbaya sana jamani. Taadhari za mapema inabidi zichukuliwe kwa raia na serikali pia.DENGUE FEVER.... Huambukizwa na mbu waumao mchana.
dadaangu bado unajitafuta? kuna kipindi uliomba kupewa maoni ya avatar gani utumie. umeona bora uwe ka invisible ka kike? back to mada. mbona sijawahi kuyasikia haya? ni mbu wale weusi? labda hao ni alliensDENGUE FEVER.... Huambukizwa na mbu waumao mchana. Jikingeni na mbu, paka mosquito repellant kama uko nje maeneo yenye mbu, spray your home and compounds , lala kwenye chandarua... in short.
Dalili - homa ya ghafla, maumivu ya misuli na viungo kama malaria ila hii ni kali hadi kuitwa homa ya kuvunja mifupa! , vipele kama vya surua, maumivu ya tumbo, kichefuchefu, kutapika na kuharisha...inatisha wandugu!