Ugonjwa wa dengu

Joined
Jan 15, 2013
Posts
77
Reaction score
27
Natumai hamjambo wandugu,

Kabla ya Bunge la Bajeti kuanza, kuliibuka khabari za huu ugonjwa wa Dengu, lakini sasa imekuwa kimyaaaaaaa,

Ukimya huu unaashiria nini?

Updates tafadhari.
 
Serikali imefulia haina hela ya kutoa fungu ku-finance mkakati wa kupambana na dengue.

Hivyo waliotunga ile mbinu ya kunyakua fungu hazina wanaandaa single nyingine ya kuwadanganya wadanganyika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…