Ni wewekuna rafiki yangu mke wake ana ugonjwa wa gono ma anasema hajafanya mapenzi nje ya ndoa.je kuna uwezekano kwa mwanamke kupata ugonjwa huu bila kuambukizwa?nisaidieni wana jf
kuna rafiki yangu mke wake ana ugonjwa wa gono ma anasema hajafanya mapenzi nje ya ndoa.je kuna uwezekano kwa mwanamke kupata ugonjwa huu bila kuambukizwa?nisaidieni wana jf
Ni wewe
sio huyo Rafiki yako. Nenda Hospitali wewe na mume wako mukatibiwe kama hujakwenda nje kulipata hilo gono basi
atakuwa huyo mume wako ndio aliyekuambikiza hilo gono nendeni wote wawili mukamuone Daktari awatibieni nyote wawili
mutapona.
gono ndo basi la wapi?
watu wengine wanachosha..........kwani akisema ni yeye nani anamjua.............