Ugonjwa wa gumboro (kuku)

Ugonjwa wa gumboro (kuku)

achengula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
369
Reaction score
62
Gumboro ni ugonjwa wenye maambukizi makubwa unaowapata kuku wakionyesha dalili kuu kama viungo kuvimba, kuuma, kushindwa kufanya kazi, na kupungua kwa basa kadri muda unavyoendelea. Ugonjwa huu unawapata kuku wadogo wenye umri kati ya wiki 3 hadi 6 ambao basa yao inafanya kazi. Mara chache ugonjwa huu unaweza kuwapata kuku hadi wenye umri wa wiki 18. Kwa maelezo zaidi juu ya uenezwaji, dalili na kukabiliana nao soma hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
 
Back
Top Bottom