Mtanzania wa USA
Member
- Jul 21, 2024
- 11
- 14
UGONJWA WA HOMA YA INI
Huu ugonjwa wa homa ya ini now unazidi kuongezeka na kwa taalifa ni kwamba ukiupata sio rahisi kujua kama unao huu ugonjwa.
Maambukizi yake ni simple sana, yani mtu wa homa ya ini akigusana na wewe lile jasho lake pekee unakuwa tayari usha upata tayari.
Unaweza kuishi hata miaka 5 hujijui kama una homa ya ini ingawa utakuwa unaona dalili hizi
Baadaye unaweza kupata dalili za pili ambazo nazo hudumu na kupotea kaa vile
Baada ya hizi dalili kupotea, utajiona upo Ok ila baada ya miezi 7 au 12 mbele ndipo utakapokuja kubainika una homa ya ini ndio maana inashauriliwa kupima mara kwa mara homa ya ini, sababu sio kila mtu ni mzima.
But, Nje na somo hili unajua homa ya ini sio Ugonjwa hata kidogo sababu tunafichwa kujua kuwa homa ya ini ni MANJANO ila kilichoongezeka hapa ni kingeleza tu na kuitwa homa ya ini.
Sasa ugonjwa wa MANJANO ukiufatilia hapa tumefichwa pakubwa sana na watafiti hawataki watu wakalili kuwa manjano ndio homa ya ini ipo hivi....
Nimestudy kuanzia mchoro wa homa ya ini na kukuta inasababishwa na pombe, virusi ambavyo huenda na kushambulia ini, sumu n.k
Pia nikaenda kusoma ugonjwa wa majano na kubaini kuwa majano " pia inaweza kusababishwa na nyongo, virusi, na kuvunjika kwa seli ila kuja kufatilia ndani zaidi kumbe kilicho badilishwa hapa ni English wala hakuna cha homa ya ini wala mama yake na ini shida ni pale pale watalamu hawa wanataka kurundika magonjwa yawe mengi mengi ila ukija kuona hapa ugonjwa ni ule ule na dalili ni zile zile ndipo naposema kuwa hatuna ugonjwa wa homa ya ini isipokuwa tuna ugonjwa wa majano full stop....
Ugonjwa wa majano, ndio ugonjwa uliotangulia kutambulika hata kabla ya huu ugonjwa wa ini sema tunataka kupigwa sasa natamani kutoa siri ya tiba hapa ni mwage ugali mezani au niache kwanza ???

- Unatokwa sana na jasho
- Kichwa kuuma sana
- Mwili kuishiwa na nguvu
- Mikono kuishiwa nguvu
Baadaye unaweza kupata dalili za pili ambazo nazo hudumu na kupotea kaa vile
- Vichefu chefu
- Mkojo mweusi
- Macho kuwa ya njano
- Uchovu wa mwili