Sharahange
Member
- Nov 24, 2013
- 26
- 3
Pole sana kwa kuumwa na kifua mwanao hujatuambia mwanao ana miaka mingapi? mtoto wako ni wa kike au kiume? Dawa ya kifuwa kwa watoto fanya hivi:Habar wana jf!Mwanangu anasumbuliwa na kifua/kukohoa kwa miaka miwili sasa na katumia dawa za aina nyingi hadi zimemuharibu meno lakini hajapona na hali yazidi kuwa tete!msaada wana jf plz!
Mzizi Mkavu naomba ufafanuzi kidogo hivyo vipande 4 vya kitunguu ninaviweka kwenye asali kiasi gani? na dozi yake anatumia kwa siku ngapi?
natanguliza shukrani!
Mzizi Mkavu naomba ufafanuzi kidogo hivyo vipande 4 vya kitunguu ninaviweka kwenye asali kiasi gani? na dozi yake anatumia kwa siku ngapi?
natanguliza shukrani!