Ugonjwa wa kipara unatokana na nini?

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805


[h=3]Nahitaji kujua ugonjwa huu wa kipara unatokana na nini maana naogopa usije nipata hapo baada[/h]
 
Wewe tafuta pesa. Mengi ana kipara na ana totoz ya nguvu. Acha kuremba
 
Ni ishara ya kuwa una homoni za kiume za kutosha (testosterone)
 
Hakuna namna best. Saka mahela hadi ukifika mahali huhitaji kujitambulisha. Huoni EL anapata wadhamini ambao hata sio wanaccm?

Mdomo iliponza kichwa....ha ha ha. Unataka kusema hata Kapuya Kipara chake si hoja!!
 
Hakuna namna best. Saka mahela hadi ukifika mahali huhitaji kujitambulisha. Huoni EL anapata wadhamini ambao hata sio wanaccm?

Hivi MTU kama Kingunge unaanzaje kumtazama akivua nguo?!! Kina Dada MNA ujasiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…