Ugonjwa wa kisukari ' mbegu za kiume'

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Wakuu wa Nchi naomba kuuliza hivi mtu akiwa na ugonjwa wa kisukari Anaweza kupata tatizo la kutokuwa na mbegu za kiume ? Na kama ndio Kuna Dawa ambazo zinaweza kumsaidia kurudisha sperms production.

Msaada please.
 
Wakuu wa Nchi naomba kuuliza hivi mtu akiwa na ugonjwa wa kisukari Anaweza kupata tatizo la kutokuwa na mbegu za kiume ? Na kama ndio Kuna Dawa ambazo zinaweza kumsaidia kurudisha sperms production. Msaada please.


hapana, unachotakiwa , ni kubadilisha tu mfumo wa maiha, acha pombe, kula white meat(kuku au Samaki),Kula Dona , Usipende kuweka Sukari kwenye chai , ukiweza weka Asali kidogo, Pendelea mboga za majani ,ziungwe na karanga. Balance Sukari yako iwe kati ya 4........7. lakini ata ikifika 8 siyo mbaya sana. ukifanya hiyo Nguvu zako za kiume zitakuwa zipo Freshi na nguvu ya Kufanya mapezi inaongezeka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…