Sina hakika japo maradhi yote kwa ujumla huweza sababisha kinga ya mwili shuka sio kisukari tuMessage…Wapendwa nauliza ugonjwa wa kisukari unaweza kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili?
Shukrani!Hakuna tabu share kadiri uwezavyo, pia kupata nakala zangu mbalimbali njoo nikuunge kwenye group langu la what's app
Sent using Jamii Forums mobile app