Haya Ni Mambo Ya Kuendekeza, Nilisoma Kwenye Seminari Za Kanisa Katoliki Kwa Miaka 4, Hakuna Likizo Wala Oppsite Sex Ila Mara Moja Kwa Mwka
Watawa Wale Wa Kikatoliki, Walikuwa Wanasisitiza Extra Curriccula Activies Kama Njia Moja Wapo Ya Kuachana Na Huo Ujinga, Yaani Ratiba Ya Masomo, Ikifuatiliwa Na Kazi, Kusali, Kuimba, Michezo Nakadhalika.
Hsteria Itakuwa Tatizo Hasa Kwa Shul Za Kina Dada Kwa Kuwa Hakuna Shughuli Za Kufanya, Mpaka Chumbani Kunadekiwa Na Wafanyakazi.
Seminari, Pamoja Na Masomo, Nilikuwa Nahudumia Shamba La Miwa Kama Robo Eka, Nacheza Volley Ball....
Saa Ngapi Na Wapi Itatoka Hysteria?