Ugonjwa wa kuku kupata vipele kwenye utumbo unasababishwa na nini?

Lastmost

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2022
Posts
802
Reaction score
919
Salaam,

Habari za mchana huu?

Wadau ninaomba kujua kwa mwenye uelewa wa huu UGONJWA.

Leo nimechinja kuku, nikakuta utumbo wake una vipelevipele, ila kuku alikuwa mzima kabisa kabla sijamchinja.

Wataalamu naomba kujua ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…