Ugonjwa wa kusahau unatokana na nini?

Habari
Ivi kusahau sahau kunasababishwa na nini?? maana mimi tangu nirudi kutoka shule nimekua na hili tatizo. . . Msaada tafadhali



Home remedies for weak memory
Take seven almonds and drown in the water in night. In early morning peel almonds and make almond paste. If your eyes are also weak then make paste of kali mirch ( black pepper ) and mix it with almonds paste. Now mix this paste of almonds and black pepper with 250 ml. milk and boil that milk for 5 to 10 minutes. After that stop boiling the milk and mix one table spoon pure ghee ( butter ) and 2 tablespoon sugar. Leave this whole mixer for some time to be cold and when it is little bit hot then take it. Follow this process for 40 days regularly. This is best home made remedy about how to improve memory.

This milk is very good medicine for weak memory and weak brain
 
Kusahau sio ugonjwa matter of fact ni Neema, labda kama unasahau kipita kiasi.
 
Kwa mara ya Kwanza nakula Almond seeds ilikua kwenye Emirates. Badae nikafika ughaibuni nikazikuta zimechanganywa na korosho na pia dhabibu za kusindika. Nikawa napenda kutafuna kila jioni bila kujua faida yake mwilini. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ulaji wa junk foods kwa wingi, kutokulala kwa mpangilio na kutofanya mazoezi ya viungo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…