Wana JF Doctor vipi heka heka za Uchaguzi?Mwenzeni nina tatizo la kusinzia ofisini na nikiamka naamka nimechoka macho yanakuwa mazito na kuchoka.
Naamka alfajiri sana( 5.30am) sana kwenda kazi na kurudi usiku saa 2-3. Nilidhani ni uchovu wikiendi moja sikutoka nyumbani nikalala mchana kutwa,usingizi hauishi.
Hata nikilala mapema asubuhi naamka vizuri, nikifika ofisini natokewa na usingizi ule unasinzia na kushtuka.
Nini hii? Miaka 45,"mbaba"