Sky Eclat, umeishiwa usingizi kama mimi au ndiyo unajiandaa kuyakabili majukumu ya leo?Pima damu, inawezekana uchovu unasababishwa na ukosefu wa oxygen kwenye ubongo, kama huna haemoglobin za kutosha kiwango cha usafirishaji wa oxygen hakitakidhi mahitaji ya mwili.
Ukiwa unasimzia take a deep breath in ili kuruhusu oxygen kuingia kwenye mapafu hii inasaidia kwa muda mfupi.
Nimeiona haijajibiwa mkuu. Si ajabu tatizo lilikwishaSky Eclat, umeishiwa usingizi kama mimi au ndiyo unajiandaa kuyakabili majukumu ya leo?
Hii post naona ni ya mwaka 2015, au ndiyo unafukua[emoji1] [emoji1]
Kuna sehemu inaitwa Nzega, ipo Tabora. Nilishangaa kuona wali umeshaiva kwa mama ntilie saa mbili kasoro asubuhi.Nimeiona haijajibiwa mkuu. Si ajabu tatizo lilikwisha
Mkuu Huku Pwani tunapika makopa ya nazi yanawekwa na sukari kidogo. Ukimaliza kula makopa lazima usinzie.Kuna sehemu inaitwa Nzega, ipo Tabora. Nilishangaa kuona wali umeshaiva kwa mama ntilie saa mbili kasoro asubuhi.
Kama unaenda kulima sawa, ila kama ukila vile halafu unaenda ofisini, basi tegemea kulala.
Kwa Dar, unamkuta mtu asubuhi anakula mtori, chapati 3, na soda, lakini pia anabeba vitafunwa vya saa nne. Asipolala huyu, njoo uniambie.
Umempa ushauri mzuri KasongoPima damu, inawezekana uchovu unasababishwa na ukosefu wa oxygen kwenye ubongo, kama huna haemoglobin za kutosha kiwango cha usafirishaji wa oxygen hakitakidhi mahitaji ya mwili.
Ukiwa unasinzia take a deep breath in ili kuruhusu oxygen kuingia kwenye mapafu hii inasaidia kwa muda mfupi.