ypointer4
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 633
- 522
Wakuu,
Kama mada inavyosema hapo juu, naomba msaada wakujua tiba ya magonjwa hayo mawilii.
Maelezo;-
Kutetemeka mikono, hii hutokea mara kwa mara na zaidi zaidi pale nipofanya kazi za kutumia nguvu au hata mazoezi na mara nyingine pindi nipokasirika au kuwa na wasiwasi najikuta vidole vyote vinatikisika kwa kasi ya hali ya juu kiasi hata siwezi kuchota supu au mchuzi kwenye bakuli kwa kutumia kijiko nikanywa bila ya kumwaga kiasi kikubwa.
Maumivu ya mifupa; hili tatizo hutokea ninapo kuwa maeneo ya baridi kali.
NB: SITUMII (KUNYWA/KUVUTA) KILEVI CHA AINA YOYOTE ILE.
MAZOEZI NAFANYA CARDIO & WEIGHT TRAINING..
Nawasilisha.