Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,940
- 1,055
Samahi sana wa jf japo hicho kichwa cha habari huenda hakijakaa vizuri nina mjomba wangu ana umri wa miaka 4 hivi sasa huyu dogo toka azaliwe huwa anasumbuliwa na tatizo moja anapoenda haja kubwa huwa kuna kitu kama utumbo hivi huwa kinatoka kuna hospital moja hivi alipelekwa akaambiwa kuwa apewe vyakula ambavyo ni laini tu yaani hakuna tiba maalumu sasa kama unaweza kuwa unajua huenda kuna tiba naombeni mnielekeze maana dogo huwa anaumia sana.
NATANGULIZA SHUKURANI.
NATANGULIZA SHUKURANI.