Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
RX pleaseMkuu pole sana,,,,.
.Huo ugonjwa unaitwa Gout anthritis
Husabibishwa na uwepo wa uric acid nyingi kwenye damu......
Aende kupima Figo zake je zinafanya kazi vizuri?Na apime pia Uric Acid huenda ipo nyingi mwilini mwake. Ukitaka dawa ya kumponyesha mgonjwa wako nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia mgonjwa wako.Wakuu kuna ndugu yangu amepata tatizo la kuvimba sehemu mbali mbali za viungo vya mwili. Baadhi ya vidole, magotini na cha ajabu uvimbe unahama mara Kwa mara.
Akivimba goti la kulia, anavimba na mkono wa kushoto. Akipona uvimbe unahama,sasa ni mwezi atembei vizuri. Alitumia dawa za hospital lakini bado, na sasa anatumia miti shamba,uvimbe umepungua lakini baadhi ya vidole bado vimevimba na mguu wa kushoto unamuuma sana
Tunamshauri aende akacheki vipimo lakini hataki anasema karogwa. Je huu ni ugonjwa gani?
'Check for uric acid level',Aeende hospital mapema ili kuepuka kupata 'kidney stones' endapo itakuwa ni 'Gout arthritis'.Wakuu kuna ndugu yangu amepata tatizo la kuvimba sehemu mbali mbali za viungo vya mwili. Baadhi ya vidole, magotini na cha ajabu uvimbe unahama mara Kwa mara.