Ugonjwa wa kuwashwa

donocean

Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
72
Reaction score
46
Mim nina tatizo la kuwashwa hasa sehemu za katikati ya mapaja na kwenye ubavu chini kidogo ya mbavu pande zote.

Je shida inaweza kuwa ni nin na je lipi suluhisho la ugonjwa huu, wajuvi nisaidien.
 
Olympus alikua na tatizo kama lako miezi kadhaa iliopita naye alileta hapa uzi.
Mcheki akupe solution
 
Tinea cruris., iyo just google na medication yake, huwa inaenea had ktk kati ya anus kwenye pumb huwa inawasha sana, haijalish hu msafi au mchafu inakupata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…