Ugonjwa wa mabinti kucheza miguu

clinician

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
2,098
Reaction score
4,926
Wakuu nipo kwenye taasisi moja kama mganga, kuna ongezeko kubwa la mabinti wanaokuja kuripoti na huu ugonjwa wa kucheza cheza miguu mara tu wanaposimama, wakikaa hakuna shida.

Kuna wavulana pia kwenye hii taasisi lakini hawapati huu ugonjwa, huwa unajirudia rudia kwa nyakati tofauti kunakuwa na kama mlipuko vile wa hili tatizo kisha hupotea.

Nimekosa jina lake hivyo google haijanisaidia, kama kuna mwenye ufahamu wowote kuhusu ugongwa huu naomba anijuze, haswa jinsi ya kumsaidia mgonjwa.
 
Sasa mganga haujui? Ngoja waje waganga wenzako
 
Ni kweli sijui,tupo waganga kama 6 na hakuna anayefahamu,udaktari ni mpana ndio maana nimeomba mwenye ufahamu asaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…