Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
Jamani mimi na familia yangu 2nasumbuliwa na ugonjwa wa macho red eyes, tu2mie dawa ipi? Mana macho yanawasha kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwa mujibu wa utabibu wa kitaalamu au wa kina Profesa Maji Marefu, Mb CCM.Osha macho yako kwa maji ya chumvi, kesho tu mtakuwa mmepona.
Kama uko karibu na bahari osha macho kwa maji ya bahari. Ni dawa tosha.
Osha macho yako kwa maji ya chumvi, kesho tu mtakuwa mmepona.
Kama uko karibu na bahari osha macho kwa maji ya bahari. Ni dawa tosha.