Ugonjwa wa macho

Siri Sirini

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
547
Reaction score
199
Jamani mimi na familia yangu 2nasumbuliwa na ugonjwa wa macho red eyes, tu2mie dawa ipi? Mana macho yanawasha kweli
 
Osha macho yako kwa maji ya chumvi, kesho tu mtakuwa mmepona.
Kama uko karibu na bahari osha macho kwa maji ya bahari. Ni dawa tosha.
 
Hii ni kwa mujibu wa utabibu wa kitaalamu au wa kina Profesa Maji Marefu, Mb CCM.
 
Osha macho yako kwa maji ya chumvi, kesho tu mtakuwa mmepona.
Kama uko karibu na bahari osha macho kwa maji ya bahari. Ni dawa tosha.

Mh! C yatazidi kuwasha? Ila asante nitajaribu ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…