Ugonjwa wa mafua ya kuku

achengula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
369
Reaction score
62
Ugonjwa wa kuku ni ugonjwa wa kuambukiza unaoshambulia zaidi mfumo wa juu wa upumuaji kwa kuku na dbaadhi ya ndege wa porini mfano njiwa. Ugonjwa huu unasababishwa na bakteria wanaojulikana kitaalamu kama Avibacterium paragallinarum (zamani aliitwa Hemophilus paragallinarum). Ugonjwa wa mafua ya kuku unaweza kuwapata kuku wa umri wote lakini zaidi wale wa umri wa kati na wakubwa. Aidha unajitokeza zaidi kwa kuku wanaotaga na wale wanaokaribia kutaga mayai na mara chache hujitokeza kwa kuku wa nyama.
Soma hapa ujue namna unavyoenezwa, dalili zake na jinsi ya kukabilina nao hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…