Ugonjwa wa matezi

Sinoni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
6,581
Reaction score
11,572
Salaam kwa wana JF wote, nipo hapa kuelimishwa juu ya ugonjwa wa MATEZI, kujua yafuatayo...

1.Matezi yanasababishwa na nini ?
2. Dalili za matezi ni zipi?
3. Utajijua vipi kwamba unasumbuliwa na matezi?,
4. Ni njia gami madhubuti ya kujikinga na matezi na je, matezi yanatibika kwa kutumia vidonge vya aina gani?

5. ni yapi matibabu ya Matezi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…