Ugonjwa Wa maumivu kwenye kiuno

Johnedward

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Naombeni Msaada Wenu wenzangu nasumbuliwa matatizo yakiuno namgongo pls naombeni msaada wenu wadau.
 
Nenda hospitali ufanyiwe uchunguzi....
1. Kuna uwezekano labda pingili za uti wa mgongo zimesagika kwenye maungio ,yaani kisahani cha maungio kimesagika kutokana na kukauka kwa yale majimaji lainishi.

2. Kuna dislocation inayopelekea mifupa kusagana.
 
Pole sana mkuu, wahi hospitali
 
Una muda gani hujaonana na mwenzio? Kamtafute
 
Kwenye Sex Akunatatizo Tatizo lipo kwenye kama nimekaa kunyanyuka unackia kwambali kam mkongo unauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…