Ugonjwa wa mawazo kwa wanadamu

bakar shomar

Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
53
Reaction score
54
Habari zenu waungwana

Leo naomba tujadiliane kuhusu ugonjwa mkubwa wa mawazo (Stress disease) ambao naamini 99% au 100% ya watu wote duniani wanakumbwa na ugonjwa huu ambao haujulikani au umesahaulika miongoni mwetu

Ugonjwa wa mawazo (suriya) (stress disease) upo wa aina nyingi kulingana na jinsi gani mtu anavyosumbuliwa, na baadhi ya mifano ya ugonjwa wa mawazo (suriya) ni mawazo ya kimahusiano(kuachwa na mpendwa wako),, mawazo ya madeni yanayokukabili,, mawazo ya kukosa kazi n.k...

Kwa mitazamo tuliyokuwa nayo sisi walengwa huu ugonjwa wa mawazo (suriya) (stress disease) tutaweza kuutibu kwa njia gani!?

Naomba kuwasilisha waungwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia lahisi ya kwanza ya kupunguza msongo wa mawazo ni..
Kufanya mustarbution.

Faida moja pekee ya nyeto kwa men, na kwa wanawake sjui wanaitaje...

Stress end.

Njia zngine za kupunguza stress zinahitaj sana support na pia money sabun ya roho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…