Mara nyingi nimesikia mtu anaumwa ugonjwa WA kidole kuvimba na watu huita mdudu ambao wanasema hauna tiba.ningependa kujua mengi ya zaidi kuhusu huu ugonjwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.