loupa
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 124
- 78
Habari za humu ndani,
Kuna tatizo limetokea Mama yangu umri 56, amepata tatizo la miguu yake kufa ganzi hali inayompelekea hata kushindwa kutembea.
Kuna mda miguu yake inatetemeka (vibration) ingawa hahisi maumivu.
Ameenda hospital amepewa dawa za mifupa+za misuli lakini hali haina mabadiliko.
Naombeni msaada wa ushauri jamani.