Ugonjwa wa ngozi kukakamaa

Ugonjwa wa ngozi kukakamaa

Kaporand

Member
Joined
Aug 26, 2018
Posts
9
Reaction score
9
Jamani Nina tatizo la ngozi Naomba kujua Tiba yake ngozi Ina kakamaa miguu yote ilianza kidogo saiv naona inaongezeka
Kama unajua dawa au namba ya dokta anaye weza nisaidia tafadhari

IMG-20210424-WA0029-01.jpeg
 
Jamani Nina tatizo la ngozi Naomba kujua Tiba yake ngozi Ina kakamaa miguu yote ilianza kidogo saiv naona inaongezeka
Kama unajua dawa au namba ya dokta anaye weza nisaidia tafadhari

View attachment 1763048
Hebu nenda haraka hospitali ukamuone Daktari wa ngzoi ili apate kukupima hayo maradhi yako usingojee ushauri wa humu jamvini. Tibiwa hospitali ukiwa bado hujapona njoo hapa utuambie nimeambiwa hospitali ninayo maradhi fulani ili tuweze kukupa dawa zetu za asili upate kupona maradhi yako. Hatuwezi kukupa dawa za asili mpaka ijulikane hospitali unayo maradhi gani?na umetibiwa hospitali hujapona ndipo tutakapo weza kukutibia kwa dawa zetu za asili na utapona maradhi yako uguwa pole.
 
Back
Top Bottom