Ugonjwa wa ngozi

Ugonjwa wa ngozi

Joined
May 8, 2019
Posts
5
Reaction score
0
Samahani nilikua naomba kuuliza ngozi yangu ya uso ni ya mafuta lakin na shangaa nina kama wiki ivi ngozi yangu imebadilika na kua kavu na yenye mikunjo na mabaka kwa mbali sina mafuta hata kidogo na sikuwai kutumia kipdozi chochote nataka kujua ni tatizo gani linasababisha ivi
 
Taja ulivyo paka usoni vyote wiki hii, ikiwemo sabuni unayotumia.
 
ukigegedwa ngozi itarudi kuwa nzuri
 
Taja ulivyo paka usoni vyote wiki hii, ikiwemo sabuni unayotumia.
Situmii sabuni wala mafuta yoyote usoni na hii ni kwasababu nilkua na ngozi ya mafuta ambayo nikipaka mafuta yoyote nakua na chunusi ivo niliamua kuto kupaka kitu chochote usoni
 
Wew nawe hata ukiwa unaoga, hupak sabuni usoni?
Basi anza kupaka mafuta, ngizi inawili,
Mafuta ya asili ni mazuri zaidi.
Kama ya Nazi.

Sawa kaka nilikua na hofu tu kwaiyo inaweza ikawa ni hali ya kawaida tu?
 
Back
Top Bottom