Nac G variente
Member
- May 8, 2019
- 5
- 0
ukigegedwa ngozi itarudi kuwa nzuriSamahani nilikua naomba kuuliza ngozi yangu ya uso ni ya mafuta lakin na shangaa nina kama wiki ivi ngozi yangu imebadilika na kua kavu na yenye mikunjo na mabaka kwa mbali sina mafuta hata kidogo na sikuwai kutumia kipdozi chochote nataka kujua ni tatizo gani linasababisha ivi
hapana ila hali ya hewa ya dar asaiv ni ya mvuamvuaUnakaa sehemu yenye baridi sana?
Situmii sabuni wala mafuta yoyote usoni na hii ni kwasababu nilkua na ngozi ya mafuta ambayo nikipaka mafuta yoyote nakua na chunusi ivo niliamua kuto kupaka kitu chochote usoniTaja ulivyo paka usoni vyote wiki hii, ikiwemo sabuni unayotumia.
NdioHuyo kwenye avatar ni wewe??
Situmii sabuni wala mafuta yoyote usoni na hii ni kwasababu nilkua na ngozi ya mafuta ambayo nikipaka mafuta yoyote nakua na chunusi ivo niliamua kuto kupaka kitu chochote usoni
Sawa kaka nilikua na hofu tu kwaiyo inaweza ikawa ni hali ya kawaida tu?Wew nawe hata ukiwa unaoga, hupak sabuni usoni?
Basi anza kupaka mafuta, ngizi inawili,
Mafuta ya asili ni mazuri zaidi.
Kama ya Nazi.