Dr mendez
Member
- Feb 14, 2019
- 27
- 12
Habar za asubuhi wakuu.
Nimekuja kwenu ndungu zangu wa jf naona kinamna moja au nyingne naweza nikapata msaada ata wa kimawazo najua jf ni wigo mpana umu kuna watu wa kila aina ivyo naweza nikapa kile ninacho kusudia .Mimi ni mgonjwa nasumbuliwa na ostomylitis [ bone iffectio] ni miaka 7 sasa toka liniaze ili tatizo ugonjwa uliazia kwenye mkono uliza kama uvimbe kwenye mkono wa kushoto nikaenda hospital ya kawaida nikizani labda ni jipu la kawaida lakini baada ya upasuaji pakawa na kidonda kisicho pona ikabidi nipelekwe hospital kubwa muhimbili kule walifanya vipimo na kubainika ni ostomylitis nikafanyiwa upasuaji baada ya upasuaji nikapata nafuu kwa muda wa miezi mitatu ugonjwa ukaludi tena nikaenda tena hospital nikafanya operation tena safari hii ndo ikawa balaa zaidi kwani ugonjwa uliamia kwenye mguu yani nikawa na vidonda viwili mkononi na mguuni baada ya mda kidogo kidonda cha mkononi kikapona chenyewe bila dawa kikabaki cha mguuni ichi sasa ndo kinanisumbua vibaya mno kwani nilivyo enda hospital wakaniandikia dawa nimetumia dawa bila nafuu yoyote mwisho nikatakiwa kufanyiwa operation lakini kutokana na hali yangu kiuchumi sio zuri tena ikabidi waniandikie madawa ya antibiotic nimetumia dawa bila mafanikio adi mda huu na andika hapa hali yangu bado sio zuri nikiangalia mguu jinsi unavyo toa uchafu kiukweli nakata tamaa kabisa kibaya naijui hali yng kiuchumi siwezi nikafanya upasuaji wana jf kama kuna mtu anafahamu huu ugonjwa labda kuna dawa naweza itumia na ikanisaidia naomba anielekeze kwani sasa akiri zangu zimefika mwisho .
Samahani mi ndo kwanza naaza kupost jf kama nimekosea kiuandishi mnisamehe bure
Sent using Jamii Forums mobile app