Habari Ndugu zangu!
Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio!
Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote!
Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye mazoezi! Japo bado sioni mafanikio!
Jamani ninahitaji Sana wa kupata watoto umri wangu umesonga, Ndoa mawifi wamechachamaa!
Nisaidieni wapendwa, kwa mliowahi kutibu ama kupitia hii Hali mmefanyaje mkapata watoto?