Ugonjwa wa PCOS

wamanga

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Posts
109
Reaction score
320
Habari Ndugu zangu!
Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio!
Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote!


Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye mazoezi! Japo bado sioni mafanikio!

Jamani ninahitaji Sana wa kupata watoto umri wangu umesonga, Ndoa mawifi wamechachamaa!

Nisaidieni wapendwa, kwa mliowahi kutibu ama kupitia hii Hali mmefanyaje mkapata watoto?
 
Pole sana na Mungu akutangulie. Wewe ni mnene sana? Nadhani dr kakushauri vizuri hasa mazoezi. Pia zingatia diet inayofaa.
 
Kabla ya kuolewa "k" yako ilikuwa imetembea kilometer ngapi? Madereva waliyoendesha hiyo "k" walikuwa wangapi kwa idadi? Shida mara nyingi uanzia hapo alafu majuto ni ukiingia kwenye ndoa!
 
Duh,, pole sana,,sikiliza mtaalamu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…